Hii ni App maalumu kwa ajili ya wapenzi na wanachama wa chama chetu Pendwa chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na wote wanaopenda mabadiliko ya kweli katika Tanzania
Tafadhali Download App Hii na Ushare na jamaa,rafiki na ndugu zako ili Kusudi Lengo la Mabadiliko ya kweli Litimie
People's Power